Yeye hakutaka pesa alitaka furaha Nami nikampatia Kwa yale madeko mtoto akaja Kusah nitakusalia Unapokwenda nami nipo Nimekubali yapitishwe maandiko Imani yangu kwako ipo Mimi nawe kitutenganishe kifo Acha wa vijora wapambe (ayee) Baby acha watuchambe (ayee) Wa kutunang'a watunang'e (ayee) Penzi letu tulipambe (ayee) We ndo mama lao, mama lao We ndo mama lao, mama lao Mwenzenu kanipenda Na moyoni nina pete Kasema niwe naye kayachoka maseke Kachoka yale mangumi na kupigwa mateke Kasema ye hawezi kaukata utepe Akanikaba shingo umemkaba roho Ni penzi la kishindo la kikomando Akikaa ukikisima twaijaza ndoo Halloo, loo loo loo Acha wa vijora wapambe (ayee) Baby acha watuchambe (ayee) Wa kutunang'a watunang'e (ayee) Penzi letu tulipambe (ayee) We ndo mama lao, mama lao We ndo mama lao, mama lao Achana nao! We ndo mama lao, mama lao We ndo mama lao, mama lao