Ilianza kama stori Ni historia Ninapendeza kweli kweli Ni historia Mashallah amejaliwa Ana sifa zote za kusifiwa Nampenda, nampenda Wacha mimi wakiniona na suti Naona shelana Kanisani tukipiga magoti Nikiapa nawe Ndipo watasema sijatania Nakupenda oh mama mia Uzuri wako we asilimia mia Hakuna kama we mimi nakulilia Ooh oh, oh, oh, oh, oh, oh, oh, oh Hakuna kama wee, dada wee Ooh oh, oh, oh, oh, oh, oh, oh, oh Mi kwako nimefika tamati Kutazama kushoto kulia Nakuona wewe tu Kwenye dunia hii, tumeumbwa wawili Ni mimi na wewe tu Sasa usije iba hii furaha yangu Mi ukaondoka nayo Nitalia lia lia Nitaumia mama Nitalia lia lia lia lia lia