Mmh uyee, ulalala uyee Mmh mmh (Mafia) Labda mbingu na dunia Vije vishikane wabadili mchana Uwe usiku wa manane Wakitaka tuachane Watupige mapanga Baby tufe tuzikane Si unajua nakujua Sasa Walimwengu Mimi wataniambia nini? Na wakitaka kukuambia Waambie baby we ndo unanijua mimi Na vile vipengele si ungehama Ningeingia maji ningezama Walikuvua nguo ukachutama Ukasema huniachi ukang'ang'ana Na mimi ee Penzi ni kama kamari Tucheze hakuna dosari Tena hakuna kujali Ooh nah nah Tena lipigwe zumari Wapambe wakae mbali Tucheze tujivinjari oo Penzi ni kama kamari Tucheze hakuna dosari Tena hakuna kujali Ooh nah nah Tena lipigwe zumari Wapambe wakae mbali Tucheze tujivinjari oo Ooh lala Basi nibebe nibebe (unibebe) Nibebe nibebe (ah nimechoka) Basi nibebe nibebe Mmh unibebe nibebe Unibebe nibebe nibebe Kwa kila hali nibebe Wambea hawaishi maneno nibebe Nibebe, nibebe nibebe Nawaza nikutunukie tuzo Tumeshinda vikwazo tangu mwanzo Si rahisi mami love Kushindania umaneno Wanatamani nikudharau Niseme nimepanda dau Kisa nikusahau wewe Wangemiliki mbuga Wangeshatufukuza Kama wanyama ndege Tule mihogo tule dagaa Ugali wa kuchoma na vinguruka Tuishi vile tunavyotaka Binadamu hatuwezi kuwaridhisha Penzi ni kama kamari Tucheze hakuna dosari Tena hakuna kujali Ooh nah nah Tena lipigwe zumari Wapambe wakae mbali Tucheze tujivinjari oo Penzi ni kama kamari Tucheze hakuna dosari Tena hakuna kujali Ooh nah nah Tena lipigwe zumari Wapambe wakae mbali Tucheze tujivinjari oo Ooh lala Basi nibebe nibebe (unibebe) Nibebe nibebe (ah nimechoka) Basi nibebe nibebe Mmh unibebe nibebe Unibebe nibebe nibebe Kwa kila hali nibebe Wambea hawaishi maneno nibebe Nibebe, nibebe nibebe