Sina makosa, mmh wanionea bure Ati umepanga kunitoa roho Na mambo ya dinner yalimkosha akanipenda bure Ananipa mahaba nilivyo mroho Sikumchota nilimbeba mazima mazima Acha akasusu ninazo hata dawa za China Nilimuomba busu akanivuta nimchimbe kisima Kisha akaniruhusu nimkposti nimtag na jina kabisa Na kama inauma nakupa pole Nakupa pole, nakupa pole, nakupa po Kama inauma pole Nakupa pole, nakupa pole, nakupa pole (Pole we eeh eh) Sikumfukiza hata dawa upendo karidhia ah Ooh nakafika nakapa dawa tena ametulia aah Ulimchukiza kayanawa mapenzi kakimbia ah, ah Vile visa tabia mbaya hataki kurudia ah, ah, ah Ulimtia uoga Ati penzi halitonoga Kaja hata sikuroga Kadata na chuma mboga Sikumchota nilimbeba mazima mazima Acha akasusu ninazo hata dawa za China Nilimuomba busu akanivuta nimchimbe kisima Kisha akaniruhusu nimkposti nimtag na jina kabisa Na kama inauma nakupa pole Nakupa pole, nakupa pole, nakupa po Kama inauma pole Nakupa pole, nakupa pole, nakupa pole Nakupa pole (oole) Kipya kinyemi naringa Nichecheme nicheche che Nakuwa zuzu kabisa Nichecheme nicheche che Katia hamira navimba Nichecheme nicheche che Nafanya navimba eeh Nichecheme nicheche che