Aah aah ah, ah We acha tu, I miss you Nimekaa nakufikiria haba Nakuwaza kila saa Tears on my pillow Nakuwaza days and nights Nimechoka nipo njiani Inabidi uwe jiranini unipe furaha Yeah, hakuna wa kunipa unachonipa, na wala Hakuna wa kuniita unavyoniita Hakuna wa kunifanya nihisi Ninavyohisi nikiwa nawe kwako nimefika Nataka uwe nami kila siku Uwe nami niwe nawe iwe mchana na usiku ah Uwe jirani, uwe nami tuwe ndani Urudi nyumbani kwani kwangu we ni kila kitu, yeah Na inabidi uwe hapa bila shaka Muda hauendi natamani urudi sasa Hata Mungu hapendi nagubikwa na mashaka Niondoe wasiwasi naomba urudi faster Ujue, upweke na hofu ni juu yako Nimekumiss nataka nijue japo Upendo wako unanifanya niwe juu Na kama utachelewa nataka nitue hapo Aah aah ah, ah We acha tu, I miss you Nimekaa nakufikiria ah baba Nakuwaza kila saa Tears on my pillow Nakuwaza days and nights Nimechoka nipo njiani Inabidi uwe jiranini unipe furaha Kutoka siku ya kwanza nilijua kwamba uuh Itakuwa ngum sana na nikawaza uuh Where you are you're far away, come back home It's not the same without you, baby, come back home I need you here with me, come back home Tears on my pillow, eeeeh Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani Haielezeki, ooh I miss you Aah aah ah, ah We acha tu, I miss you Nimekaa nakufikiria ah baba Nakuwaza kila saa Tears on my pillow Nakuwaza days and nights Nimechoka nipo njiani Inabidi uwe jiranini unipe furaha Kila siku nafungua panzia asubuhi Naangalia nje njiani Nikidhani pengine siku utarudi Ili tena niwe furahani, natafuta nyayo zakoo Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani Haielezeki, ooh I miss you Aah aah ah, ah We acha tu, I miss you Nimekaa nakufikiria ah baba Nakuwaza kila saa Tears on my pillow Nakuwaza days and nights Nimechoka nipo njiani Inabidi uwe jiranini unipe furaha Aah tears on my pillow Nimechoka nipo njiani, mpenzi