Nakupenda mpenzi wa maisha, maisha Na mimi moyoni, nafuraha tele moyoni Kuwa wako mwenzi wa maisha Katu hayatoisha, toka moyoni mwangu Nimekuchagua we uwe wangu Vipingamizi vingi waliweka Asante Mola tumevuka Tupamoja sasa, wenye kusema wacha waseme Nakupenda, wanipenda Furaha twaidumisha Nitakuwa wako maisha, utakuwa wangu kabisa Siku yangu imefika, imefika ah aah Na mimi moyoni, nafuraha tele moyoni Kukupata mwenzi wa maisha Nami naahidi nitakupa vyote Tangu sasa hata milele Siku yangu imefika, imefika ah aah Na mimi moyoni, nafuraha tele moyoni Furaha, furaha, furaha tele moyoni Furaha, furaha, furaha tele moyoni Ee hee, olala lala lala lalalaa Oo hoo, ooh uuiih Uuh huu, ulala lala lala Aa haa, uuh huu Aa haa, uuh huu Wawa wawawa Natoa machozi ya furaha, furaha, furaha Kwani penzi letu limekwishaota mizizi Umekuwa wangu laazizi Nami naamini tutaishi sote Tutapita na pande zote Nimekuwa wako mahabuba Kaeni kando, acheni pupa Tutapita kote, pande zote, mahali pote Wenye kusema na waseme Nakupenda, wanipenda Umekuwa wangu wa maisha, wa maisha ah maisha Mmh! Ee hee, ee hee Ulala lala lala lalala Ninalo penzi, la milele Moyoni mwangu Ninatoa machozi ya furaha ah aa haa Yee eh, nina furaha Ninalo penzi, la milele Ee hee, aa haa Mmhh!