Kumbe nilizama kwa brother meni Kumbe nilizama kwa sista duu Kumbe nilizama kwa brother meni Kumbe nilizama kwa sista duu Sijui niseme nini moyo wangu unyamaze Au sifa zako hadharani nizieleze Sema unachotaka utapata wangu mpenzi Siku zote nimekuweka moyoni Lakini bado wewe waniumiza Kwanini mimi wanifanyia hivyo? Wenye mimi kila siku nalia Kwa sababu yako oh wewe Oh mamii Ushamba gani huo lakini! Kosa ni kukupenda au nini? Unaonyesha message zangu kweli! Inahusu nini? Kuniweka speaker phone (inamaanisha nini?) Nilidhani wa kutoka shamba tu ndo washamba Kumbe hata mjini he-he-heiya (loh!) Matusi kila kukicha, kubembeleza kusokwisha Tafuta wa kuchoresha, Jay Dee nimechoka Kumbe nilizama kwa brother meni Kumbe nilizama kwa sista duu Kumbe nilizama kwa brother meni Kumbe nilizama kwa sista duu Brother meni anadai kuwa eti ananipenda mimi Huku nyuma ya mgongo wangu anatoka na jirani Anawatuma washikaji zake kwangu Anatafuta kisa ili anibwage Anawatuma washikaji zake kwangu Anatafuta kisa ili anibwage Eh, eh nyumbani kwetu maa nilikutambulisha Na marafiki zangu walikupenda sana Lakini moyo wangu umeuumiza Mapenzi ya kisista duu sitaki tena Mama wee, Samu mimi naumia Nashindwa kusema, nikisema labda sitaeleweka Mapenzi jamani yamejaa visa ndugu yangu Oh unaemupenda huenda asikupende Usiemupenda akuganda, ganda, ganda kama gundi Kukuacha nimeshindwa, kuendelea pia visa kibao Mmh naumia Kumbe nilizama kwa brother meni Kumbe nilizama kwa sista duu Kumbe nilizama kwa brother meni Kumbe nilizama kwa sista duu Yelelele tunakuja eh, tunakuja kivingine eh Machozi Band twakuja yeh, tunakuja kivyetu vyetu Yele maa tunakuja eh, tunakuja kivingine eh Machozi Band tunakuja yeh, tunakuja kivyetu vyetu Na Nure tena (mama) Anakuja (mama) Machozi Band (mama) Inakuja (mama) Ale Lady Jay Dee, Jay Dee (mama) Anakuja (mama) Toto Gardner (baba) Anakuja (baba) Kusema unaweza utanipa mapenzi Ni mapenzi gani ya kibrother meni yoyo Umechemsha, na haina kwere Machozi Band (mama) Inakuja (mama) Ale Lady Jay Dee, Jay Dee (mama) Anakuja (mama) Toto Gardner (baba) Anakuja (baba)