Yeah Jaydee Woah, woah Mm-mh Ilikuwa mi nakuletea maringo Nayo majivuno niliweka mbele Sikuona umuhimu wako Nilihisi kelele Ulipo sema, unanipenda Mi nilipuuza Ulipo amua, kuondoka Nikaanza tapatapa, ooh Nimechelewa Huwezi kurudi tena Nashindwa hata kuelewa Nahitaji kueleweshwa Ooh, ooh Ooh, my baby Sasa naona (hey, hey) Umuhimu wako (ooh, ooh) Wakati wewe 'uko mbali, mbali nami Nakumbuka maneno yako Natamani wewe ungekuwa nami Sasa naona Umuhimu wako (ooh, ooh) Wakati wewe uko mbali, mbali nami Nakumbuka maneno yako (kabisa) Natamani wewe ungekuwa nami Wasikia kilio changu, 'mbona u kimya? Sitarudia vituko, nitakuwa wako Nahitaji msamaha wako Unisamehe Ooh Nisamehe, unisamehe Kwanini wewe umeondoka? Mwenzio nina tapatapa Ooh Nimechelewa Huwezi kurudi tena Nashindwa hata kuelewa Nahitaji kueleweshwa Ooh, ooh Yeah, ay, yeah, yeah Sasa naona (naona) Umuhimu wako Wakati wewe 'uko mbali, mbali nami (u mbali nami) Nakumbuka maneno yako Natamani wewe ungekuwa nami Sasa naona (naona sasa) Umuhimu wako Wakati wewe uko mbali, mbali nami Nakumbuka maneno yako (nakumbuka) Natamani wewe ungekuwa nami Ripoti hii ifike kwanza kwa dingi mpaka matheri (mpaka matheri) (?) simu vingine mpenzi havina chaji (havina chaji) Wanakuzuga navyo ili mradi wapate wanacho hitaji (uh) Hao ni waongo wenye hila, washazoea ubakaji (mama yangu) Nili-mind sana kuishi nawe, si uongo Kamwe siwezi kutanga, ni escape wadudu (eh-enhe) Marafiki ndio wamekuponza, waongo, hawafai hata kwa chungu (poa) Uliwaona wanacheka, zile ni njama za kukuteka Kimawazo hata kifikra Na sio wakukaribiana nao, waogope kama ukoma (kama ukoma) Kwa maana hao jamaa wanafiki, hawafai (poa) Wao wana wanacho taka (poa) kutugombanisha tu (poa) Nini kinakutatiza ushindwe kupiga hata stori (eh-enhe) Nilikuambia nakupenda mtoto sogea karibu nami (poa) Kukumbuka kuwaepuka majirani zako, watani Walio zoea kuvuruga makochi ya watu, hata wazima (hata wazima) Sasa naona (yeah, yeah) Umuhimu wako (ooh, ooh) Wakati wewe 'uko mbali, mbali nami (uko mbali) Nakumbuka (nakumbuka) Maneno yako (oh, oh) Natamani wewe ungekuwa nami (oh, woah, woah, woah, woah) Sasa naona Umuhimu wako (umuhimu wako) Wakati wewe uko mbali, mbali nami Nakumbuka maneno yako (umekwenda) Natamani (umekwenda) Wewe ungekuwa nami Sasa naona (woo!) Umuhimu wako (Yeah) Wakati wewe (wewe, wewe) Wakati wewe 'uko mbali, mbali nami (mbali, mbali, mbali) Nakumbuka Maneno yako Natamani wewe ungekuwa nami (yeah) Sasa naona (oh) Umuhimu wako (oh, baby, baby, baby) Wakati wewe uko mbali, mbali nami (Oh, oh) Nakumbuka maneno yako (ooh, oh) Natamani (Natamani sana wewe ungekuwa nami)