Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda Nikabaki nalia na roho, nikabaki nalia na moyo Nikabaki nalia na roho, nikabaki nalia na moyo Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli Na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli Na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli aaah aaah Moyo kiza kinene huwezi kujua Yupi mkweli yupi muongo anaekuzingua Na moyo giza nene huwezi kujua Yupi mkweli yupi muongo anaekuzingua aaah Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda Nikabaki nalia na roho, nikabaki nalia na moyo Nikabaki nalia na roho, nikabaki nalia na moyo Yule fedha, huyu mvuto Vishawishi na tamaa, ujana maji ya moto Huyu mkubwa, yule mdogo Vishawishi na tamaa, ujana maji ya moto Kesha usiku mchana ukiomba dua Walaghai ni wengi wanataka akiugua Kesha usiku mchana ukiomba dua Walaghai ni wengi wanataka akiugua aah Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda Nikabaki nalia na roho (nalia na roho, nalia na moyo) Nikabaki nalia na moyo (nalia na roho, nalia na moyo) Nikabaki nalia na roho (aah what? nalia na roho) Nikabaki nalia na moyo, (Jay Dee!) Mr. Blue Nilimpa penzi, kamjali kwa maradhi, mavazi na makazi Kumbe mshenzi, hana hadhi, bure tu nampandisha ngazi Nikamweka wazi kwa paparazi Nikamleta uswazi kwa wazazi Kumbe sina demu naishi na jambazi Mi naziba huku, kule pako wazi no! Sitaki tena kuumia moyo Sitaki tena unione poyoyo Sitaki hilo penzi la kichoyo Mi sitaki mifupa mi kibogoyo Nataka vile vitu laini, no money, no honey nimebaini wee Kwanini naumia kila saa, wakati penzi lako haliendi bila ya chapaa paa Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda Nikabaki nalia na roho (moyo) Nikabaki nalia na moyo (nalia na roho, nalia na moyo) Nikabaki nalia na roho (mh mmh) Nikabaki nalia na moyo (Jay Dee!)