Abbaa! Ana jicho la kukonyeza na Mikogo ka Shakira mmh Nyuma mkia pweza Shepu Catarpilar Mechi tunazozicheza Kitandani fundikila mmh Ameniweza Napumua kwa mipira Tenaa kiuno laini chuchu dodo dodo Kitovuni kipini mtoto jojo jojo Hafai dela kimini nyuma lojo lojo Katoto ndizi maini yani sotojo tojo Aah go gaga (ah eh) Fanya kama unataga (ah eh) Tuzivunje chaga (ah eh) Ongeza mazaga zaga (ah eh) Aah go gaga (ah eh) Fanya kama unataga (ah eh) Tuzivunje chaga (ah eh) Ongeza mazaga zaga Basi waonyeshe waone, waone Basi waonyeshe waone, waonyeshe waone Basi waonyeshe waone, waone Busi waonyeshe waone, waonyeshe waone Basi waonyeshe Mungu alikumba kwa udongo We mtoto fire (fire fire) Utajinipa mazongo ukija retire (tire tire) Eeh nizidishe uhondo stim za kaya (kaya kaya) Sichulu ndondondo penzi lika pwaya (pwaya pwaya) Unavyonichanganya manuva (iyee) Kiuno spidi kama msuva (iye) Kwako napona Uhmm! Maajabu samaki nguva (iyee) Mchezoni unavyo nifunga funga Magoli ya konaa Tena kiuno laini Chuchu dodo dodo Kitovuni kipini, Mtoto jojojojo Avae dela kimini Nyuma lojolojo Katoto ndizi maini, Yani sotojo tojo Aah go gaga (ah eh) Fanya kama unataga (ah eh) Tuzivunje chaga (ah eh) Ongeza mazaga zaga (ah eh) Aah go gaga (ah eh) Fanya kama unataga (ah eh) Tuzivunje chaga (ah eh) Ongeza mazaga zaga Basi waonyeshe waone, (iye yeah) waone Basi waonyeshe waone (iye yeah) waonyeshe waone Basi waonyeshe waone, waone Busi waonyeshe waone, waonyeshe waone Basi waonyeshe