Ooh, aah Aah Achana na hao manyambafu Wasikupande kichwani Midomo yao michafu Isikunyime amani We ni pende kama sarafu Unifiche kwapani Na unigande siafu Hata tukiwa njiani Hawapendi kuona Penzi linafika mbali Udi wanachoma Usiku huwa na hawalali Wanakesha kwa sangoma Penzi walitie misumari Wasikupee homa Mambo yatakuwa ng'aring'ari Eeh Naomba zifikisheni habari Kwa rika ndomombo Kurukushani za Mondi na Zari Zimenipa somo Hatuachani, hatuachani Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling cheza rhumba Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling sakata rhumba Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling cheza rhumba Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling sakata rhumba Wala usijaribu Kuwapa nafasi wafukunyuku Watakutia aibu Zao kubwabwaja kama kasuku Kujifanya wataratibu Hawana lolote mazumbukuku Wana maswahibu, waongo Hata mwezi mtukufu Tusile tembele Kisamvu kwa nyama Wataona gere Na kutusakama Vibwabwa jengere Na vikuku vya ngama Watapiga ndele Vipate kutukwama Wao wapae na umbo Sisi hatujali Yatawakereketa wavimbe matumbo Hatuna habari eeh Wao wapae na umbo Sisi hatujali Yatawakereketa wavimbe matumbo Hatuna habari eeh Eeh Naomba zifikisheni habari Kwa rika ndomombo Kurukushani za Mondi na Zari Zimenipa somo Hatuachani, hatuachani Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling cheza rhumba Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling sakata rhumba Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling cheza rhumba Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling sakata rhumba Aga Rhumba mama rhumba Tulicheze rhumba Rhumba mama rhumba Tulicheze rhumba Rhumba mama rhumba Tulisakate rhumba Rhumba mama rhumba Tulicheze rhumba Aga Tulicheze (rhumba) Tulisakate (rhumba) Tulicheze (rhumba) Tulisakate (rhumba) Apo Apo