Ai, ayaya aee Mwenzako jicho chongo Kwa mwingine sioni tende Umenipa magongo nitembee Niache kuchechema Tujiepushe na waongo Hawakosagi cha kusema Ulinzi nguo za chuma ndongo Penzi tuenzeke na mahema Penzi langu la kizigua Nakupa taratibu (ayee) Nami uno nalinengua Washikwe na aibu Nadhani hawajajua We ndo unaniharibu (ayee) Na mwaka huu bwana wataugua Wakosee wakuadhibu Unipe mambo ya pwani Ati mwenzako nina nenge Kanga moja begani Uno ulifunge tenge Ngubara mguu pwani Kama unaruka seng'enge Wanibinyie kwa ndani Nitoke malenge lenge Saula! Mambo yaweke hadharani Saula! Kwani unamuogopa nani? Saula! Uyaweke hadharani Mbali Saula! Kwani unamuogopa nani? Saula! Kama character umelamba dume Wengine gharasa bado Saula! Tikitaka kinyume nyume Mashuti kama Ronaldo Saula! Karona jiti ka saula Kajikupa kwa kiwanja Kibichi bichi ka paula Wakaja la Masanja eeh Unipe nisivyopewa Dini silaha dunia Nije dem mwenye ningeekewa Mafisi waje ninunie Niposti usiogope Sa unifiche Mobetto (ayee) Tena mashosti nawaropokwe Tujichimbie maghetto (ayee) Unipe mambo ya pwani Ati mwenzako nina nenge Kanga moja begani Uno ulifunge tenge Eeeh, siku ya kufa nyani Kinyozi kakosa wembe Kule mtwara nyumbani Tunaitanga singenge Saula! Mambo yaweke hadharani Saula! Kwani unamuogopa nani? Saula! Uyaweke hadharani Mbali Saula! Kwani unamuogopa nani? Saula! Laizer on the Mix Aki binda (aki binda nkuoe) Yeah (aki binda nkuoe) Fanya kijipinda pinda (aki binda nkuoe) Cheza ukiringa ringa (aki binda nkuoe) Zungusha nyonga madoido (aki binda nkuoe) Kakupa mama (aki binda nkuoe) Uno lako firomido (aki binda nkuoe) Binua bandama (aki binda nkuoe) It's Lava again na Konde boy