Wasafi (Ayolizer!) Wasafai Records! Kama imeshindikana kunirudia isiwe tabu Usiuforce moyo kupenda usipo stahili Ya Nini Kung’ang’ania nishachoka kuwekwa sub Siwezi oh na mapenzi nishaghaili Tena niko tayari Vipigwe vinumbi kengere kwa sherehe Kinaga ubagha Mbele ya umati tuachane Na kama hautojali Tuite waumini mapadri na masheikh Yaishe labda sa kwa nini tutesane Kweli we ndo nikupendae Ila unanipa ghadabu jina Tusitoane nyongo Na kama umenichoka eh Niache ki staarabu jina Usinipe chongo iye Mwili umebaki kongoro Nyama sina ni mifupa Naiona ndomboro Kabisa siwezi furukuta Penzi kiporo limeshachina linanuka Huishi kokoro Purukushani kutwa kucha iyeeh Bora tuachane Bora tuachane siwezi Bora tuachane Yamenishinda mapenzi Mi naona bora tuachane eeh Tuachane siwezi Bora tuachane Yamenishinda mapenzi Ni dhahili Kisima kimekauka maji Ndo maana naona kata sina maana tena Nilifikiri mi gonjwa langu limepata mponyaji Umeniongezea homa mwili wote wantetema Mi naona basi Labda si riziki yangu Kama hunitaki Acha tu niende zangu Ya nini mishikaki Ntatafuta boda yangu Nijinafasi Niipande peke yangu Mwili umebaki kongoro Nyama sina ni mifupa Naiona ndomboro Kabisa siwezi furukuta Penzi kiporo limeshachina linanuka Huishi kokoro Purukushani kutwa kucha iyeeh Bora tuachane Bora tuachane, siwezi Bora tuachane Yamenishinda mapenzi Mi naona bora tuachane eeh Tuachane siwezi Bora tuachane Yamenishinda mapenzi Ooh oh! Liwalo na liwe Na namba zako ntafuta ama unasemaje Limalo na liwe nguo zako mashuka Wacha nkazimwage Liwalo na liwe Sio kama nimesusa Ila ntafanyaje? Liwalo na liwe we kaa mi nanyanyka Acha tu niagee Hii