Kiangazi masika ukiichanganya Vyote vikashuka kwangu vitanielemea Ntakosa pa kushika ntavavanya Wewe ndo mwandani wangu nliokuzoea Ntunza vyangu visiri mwenye kunisitiri Fundi mitambo Kinga yangu ya mwili usiyelipa bili Kuchoma changu Simtaki kafiri jangiri, mwingi wa mambo Moyo akaukatilli Nikondeshe mwili ajifanye rambo Si unajua Dalili ya mvua mawingu Ikitaka kunyesha Huwa yanatanda Nami si unanjua aah Nimeumbwa na wivu Kidogo tu presha Yanshuka yapanda Niahidi kama (Utatulia aah) Baby, niahidi kama (Utatulia aah) Hhmm nisibaki nkashika tama (Utatulia aah) Baby, niahidi kama (Utatulia aah) Hhmm wasiniibie cha ngama Maneno yangu Si biblia wala masaafu Useme usibadili hhmm Jichunge kipenzi changu Unanisikia usicheze rafu Yatimie waliotabiri Yeah, yeah Usijifanye Ronaldinho Penzi utie mbwembwe utahaaribu Visokolokwinyo wakupitie denge kukujaribu Kina capachino Wakakutia wenge kwa vizabibu Wakugongeshe mvinyo Ukaota mapembe iwe aibu Si unajua Dalili ya mvua mawingu Ikitaka kunyesha Huwa yanatanda Nami si unanjua aah Nimeumbwa na wivu Kidogo tu presha Yanishuka yapanda Niahidi kama (Utatulia aah) Baby, niahidi kama (Utatulia aah) Hhmm nisibaki nkashika tama (Utatulia aah) Baby, niahidi kama (Utatulia aah) Hhmm wasiniibie cha ngama Eeeh eh yani kama (Ukitulia tulia) Sitathubutu macho kupepesa (Ukitulia tulia) Ukinipa kiduchu nitatosheka (Kama ukitulia tulia) Sitofwata nguruchu niende teseka (Ukitulia tulia) Eeh Nami ntatulia