Mhh Ni Vampk 254 Na Annie Njeri weweh Kwanza nashukuru Kwa baraka na wema wako Kutwa nakufuru Hunibagui na zangu vako Iyeeh Nje Kuna kunguru, kunguru Wanataka nidhuru, nidhuru Ila waninusuru, nusuru Nafurahia uhuru Ninaishi lifetime ya Cinema Kula kunywa ni kwa kubambanya Nibariki furaha na afya njema Hivyo vingine nitavisakanya Kuahidi sitatenda dhambi tena Nutakuwa ninakudanganya Ila nitajitahidi kutenda mema Bila dhulma Wala kukwazana Ni wengi wangetamani Kupata Yako hisani Mimi umenipa vyote cha ajabu Sina hata shukrani Nikitazama jirani Misikiti na kanisani Mimi ninaponda Raha Sitoki kwa vyumba vya burudani (I pray) Nisamehe, Nisamehe baba (I pray) Nisafishe, Nisafishe Yesu (I pray) Nikomboe, Nikomboe Baba (I pray) Nisafishe kwa damu Yako Yesu Kama mwana mpotevu Alivyorudi kwa babaye Nami narudi Leo Tena nataka kusamehewa Nimekutenda mengi Yesu Leo natubu, natubu uuh Nimekutenda mengi, Yesu Leo natubu, natubu Bwaaana (I pray) Nisamehe, Nisamehe baba (I pray) Nisafishe Nisafishe Yesu (I pray) Nikomboe, Nikomboe Baba (I pray) Nisafishe kwa damu Yako Yesu (I pray) Nisamehe, Nisamehe baba (I pray) Nisafishe Nisafishe Yesu (I pray) Nikomboe, Nikomboe Baba (I pray) Nisafishe kwa damu Yako Yesu