Ni vampk, 254
Muna Party again, iyeeiyeeah

Chochote, nachofanya, Kinawapa homa ya ndege
Elnino kichwa na tumboni
Nikingara, Najifanya, Nilichapa nimewa bwege
Sijui nivae nyong'inyo shingoni
Nikijitenga wanasema Nina matharao (huh)
Ati nimetupa mbao (aaeeh)
Nanikibonga ati najipendekeza kwao (Huh huh)
Mnataka niishi how?
Nawanawika, kanajiringa
Hakatafika siwapi maskio (aeeh)
Nauhakika hata wakipinga
Bado ntafika yangu mafanikio ouuouuh

Mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu
Sijali mnachosema, maisha ntayaendesha
Am not a looser eeh
Am not a looser ooh
Am not a looser eeh
Am not a looser ooh

Everything I do they are all afte me
Wanajidai, wao manabii
Wanataka maisha yangu yajengwe na maneno yao
Lakini hiyo itabidi wamesahau
Juu kama ni riziki, Mungu ndo anagawa
So hata wakisnitch, siwezi nikapagawa
Maaana wote walopata hawakuzaliwa nazo
Walifanya mchakamchaka bidii na mkazo
Kila siku kukikucha nimepewa fursa inabidi nijitolee
Kwa bidii natafuta, Niweze kuzinduka hizi shida ziniondokee
Niache kuteseka kwa maisha mi toke Hali ngumu ziwe laini
Walionicheka tunapokutana wapige uso chini

Mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu
Sijali mnachosema, maisha ntayaendesha
Am not a looser eeh
Am not a looser ooh
Am not a looser eeh
Am not a looser ooh

Mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu
Sijali mnachosema, maisha ntayaendesha
Am not a looser eeh
Am not a looser ooh
Am not a looser eeh
Am not a looser ooh
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK