Wakiongea usijibu chochote we baki bubu Me komo yao na hawajui tu Na furaha imeeleta unaleta amani kwenye maisha yangu Povu liwatoke wakaroge nitabaki nawe Mpenzi koleza, baby koleza Hawatuoni wanamakengeza Kengeza Mpenzi koleza, baby koleza Hawatuoni wanamakengeza Kengeza Inabidi uniamini (aah eeh) Kukuacha kazi (kazi) Usiamini amini maneno ya watu (watu) Inabidi uniamini (aaah eeh) Kukuacha kazu (kazu) Usiamini amini maneno ya watu (watu) Lele lelele! Jimwa jimwa jimwaage Lelele! Lele lelele! Jimwa jimwa jimwaage Lelele! Maneno maneno wakikuambia Nambie eh Midomo midomo kazi Yake kuongea wapuuzie Nitauboresha, boresha Nitauboresha miee Mpenzi koleza, baby koleza Hawatuoni wanamakengeza Kengeza Mpenzi koleza, baby koleza Hawatuoni wanamakengeza Kengeza Inabidi uniamini (aah eeh) Kukuacha kazi (kazi) Usiamini amini maneno ya watu (watu) Inabidi uniamini (aah eeh) Kukuacha kazu (kazu) Usiamini amini maneno ya watu (watu) Lele lelele! Jimwa jimwa jimwaage Lelele! Lele lelele! Jimwa jimwa jimwaage Lelele! Inabidi uniamini (aah eeh) Kukuacha kazi (kazi) Usiamini amini maneno ya watu (watu) Inabidi uniamini (aah eeh) Kukuacha kazu (kazu) Usiamini amini maneno ya watu (watu) Lele lelele! Jimwa jimwa jimwaage Lelele! Lele lelele! Jimwa jimwa jimwaage Lelele!