Hum hum Ema the boy yi ihi Ungeniuliza wala tusingegombanaga Lla inaonekana ni mtu mwenye hasira Kosa sina sinaga Unanioneaga Imani yangu Baba Haiamini uongo sana hmm Kosa sina sinaga Unanioneaga Imani yangu Baba Haiamini uongo sana ah Kumekucha aah asubuhi imefika aah Chozi lanitiririka jogoo nalo halijawikaa Ningefanya lolote kwa ajili yako chochote Ilu tuwe wote japo sicho unachotakaa Uongo na visa ndio vyako Sababu na visa vya kwako Utemi na sifa ndio zako Kipi ambacho sijakuguswa nacho Nishakuwa damu mbaya (ouwee) Ushashikwa na wabaya (ouwee) Mpaka huoni haya Hizi mpaka unajiibia balaa baba Nishakuwa damu mbaya (ouwee) Ushashikwa na wabaya (ouwee) Mpaka huoni haya hizi Mpaka unajibia balaa babaa baba Kosa sina sinaga Unanioneaga Imani yangu baba Haiamini uongo sana Sana sana aah Kosa sina sinaga Unanioneaga Imani Yangu baba haiamini Uongo sana sana sana sana uhmm Maumivu kidonda changu Chumvi inakitosha dawa yangu Haifai iih Gafla mood imekuta Gafla pozi limekata Utasema lolote Mradi tusiwe wote eh Simu sijapokea mwenzako Sivai vizuri mke wako Nakudhalilisha mkeo Wee bababaa Nishakuwa damu mbaya (ouwee) Ushashikwa na wabaya (ouwee) Mpaka huoni haya Hizi mpaka unajiibia balaa baba Nishakuwa damu mbaya (ouwee) Ushashikwa na wabaya (ouwee) Mpaka huoni haya hizi Mpaka unajibia balaa babaa baba Kosa sina sinaga Unanioneaga Imani yangu Baba Haiamini uongo sana sana sana Kosa sina sinaga Unanioneaga Imani yangu Baba Haiamini uongo sana Kosa Sina aahh