Wanasema nimeparanga, kukuchagua We mwana kiranga, nimekomoka komo Wakaatia na mchanga, kwenye kitumbua Kabisa wakanicharanga, wacha tuwapige domo Hawajui, kwako napoa Haujaniboa Hawajui, umenipa natoa Yale mambo ya moto moto Umbali umenitoa Nilikuwa butu ukaninoa beiby Wasubiri ndoa Tena waambie I want to marry you Wale wakuna washakunaku I want to marry you Peleka kadi uwaambie I want to marry you Kwetu wamefua dafu I want to marry you I-I want to marry you Marafiki huku rumbembe Tia block wana nuksi Maneno yao ni vijembe Penzi kuliwekea chuki Aibu mpaka na vichwa kuinama Wakituona wanaenyeka enyeka Wameharibu ila penzi halijazama Yao yamegoma sisi bado tunapwata Hawajui, kwako napoa Haujaniboa Hawajui, umenipa natoa Yale mambo ya moto moto Umbali umenitoa Nilikuwa butu ukaninoa beiby Wasubiri ndoa Tena waambie I want to marry you Wale wakuna washakunaku I want to marry you Peleka kadi uwaambie I want to marry you Kwetu wamefua dafu I want to marry you I-I want to marry you You you you, you you you You you you you I want to marry you You you you, you you you You you you you I want to marry you