Mwenzenu nina maswali Yalokosa majibu Nayajua mapenzi Kwani ni wapi naharibu? Nitayempata atatulia Anatokea Mujiga ii Aso nguli wa kuchagua Anachagua visirani Maana sipati furaha hata kidogo Mapenzi kwangu kama hii si lingo Na penzi langu la udongo Kutwa lamomonyoka Bora niyape mgongo Sipendi kabisa nibaki single Maana kutwa ni kinyongo Bora kuacha Sasa najinenepea pea Nimetulia lia lia Bendera lapepea pea Sio za kulia lia Sasa najinenepea Nimetulia Bendera pepea Sio za kulia lia Labda sio muda wangu ooh Naifosi roho yangu ooh, kwa mawazo Alinidhoofisha mwili wangu, ooh Bora nitulie, nirudhishe mwili wangu Maana sipati furaha hata kidogo Mapenzi kwangu kama hii si lingo Na penzi langu la udongo Kutwa lamomonyoka Bora niyape mgongo Sipendi kabisa nibaki single Maana kutwa ni kinyongo Bora kuacha Sasa najinenepea pea Nimetulia lia lia Bendera lapepea pea Sio za kulia lia Sasa najinenepea Nimetulia Bendera pepea Sio za kulia lia Iyee, iyee ah, ah iyee, iyee Iyee, iyee ah, ah iyee, iyee Sasa najinenepea pea Nimetulia lia lia Bendera lapepea pea Sio za kulia lia Sasa najinenepea Nimetulia Bendera pepea Sio za kulia lia