Mmh yeah, yeah, yeah
Mmh aah, mmh hmm

Kichwani umeshazima data
Sioni, sisikii
Nawaza langu kosa sijapata
Zile swagga longo longo dukuduku
Tebu tobekeza chipsi kuku
Zimejenga uadui wa mimi na wewe

Kipindi umedhihirisha uadui
Kuweka wazi ukadhubutu
Na zile kona kona ukajenga chuki
Ki ghafla ukawa nyungu

Ilikuwa subira yangu na upolee
Kuvumilia tulipokosa wewe tusiachanee
Nitapata taratibu tusiachanee
Kwa vyetu vidogo tusigombanee
Nitapata taratibu tusiachanee
Kwa vyetu vidogo tusigombanee
Eeeh aah

Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh)
Bila ya mechi goli
Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh)
Bila ya mchezo
Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh)
Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh)

Umenifunga goli yooh

Usiwe sungura mnyama pori
Mbivu na mbichi kwake zinaliwa
Ukanifanya kila siku, mie nilie
Aah eeh
Ata nilete kuku na dai kachori
Bora za kuku firigisi na utumbo
Lengo lako unisumbue aah eeh
Na hata nikiliaa
Machozi kwangu hayatoki
Na hata nikaa kimya
Sio sawaa aah

Nitapata taratibu tusiachanee
Kwa vyetu vidogo tusigombanee
Nitapata taratibu tusiachanee
Kwa vyetu vidogo tusigombanee

Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh)
Bila ya mechi goli
Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh)
Bila ya mchezo
Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh)
Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh)

Umenifunga goli yooh
Aah aah eeh
Bila ya mechi goli
Umenifunga maah

Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh)
Bila ya mechi goli
Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh)
Bila ya mchezo
Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh)
Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh)

Lomodoo
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK