Iyeee eh! Uuh Mmh yeah The African Princess Penzi kina kirefu nimeamini, umenituliza Hakia Mungu siamini Yaweje we nwezangu na mimi, hautoniliza Kama samaki alotoka Baharini Maana mapenzi unayonipa Kwa mwingine sijaona Sijala nanenepa Walipochana umeshona hoo Wanipa raha sana we dada, nje sitamani Penzi lako tam tam Wanipa raha sana we dada, nje sitamani Unavonipa mashamsham Eeh! Nimenasa na nimenasika (sina unjanja) Na sipapariki papariki mi kwako nimefika (sina unjanja) Mieee eeh, kwako (sina unjanja) Mie ooh, (sina unjanja) Hata na mimi nitshatumbukia, sihitaji kwingine Nakuona king name malikia ya nini pengine Dezo dezo unanidekeza Kwanyimbo za pwani ukinichombeza Kitandani ndo umeniweza Nalala kama pono ukinibembeleza Baba ooh, Baba eeh, utaniuwa aah Baba ooh, Baba iyeee Maana mapenzi unayonipa Kwa mwingine sijaona Sijala nanenepa Walipochana umeshona ooh Wanipa raha sana we kaka, nje sitamani Penzi lako tam tam Wanipa raha sana we kaka, nje sitamani Unavonipa mashamsham Eeh! Nimenasa na nimenasika (sina unjanja) Nasipapariki papariki mi kwako nimefika (sina unjanja) Mieee eeh, kwako (sina unjanja) Oh miee eeh, kwako (sina unjanja) Nasipapariki papariki mi kwako nimefika (sina unjanja) Oh miee eeeh, (sina unjanja) Miee eeeh kwako (sina unjanja) Umenishika umenishika umenikamata ooh (sina unjanja) Hmm, Iyé Ayolizer!