Mahaba mbingu la penzi lanifunika Abadan sito kukimbia (yeah) Kifuani, ninapenda ukishika unadeka Na mambo ya pwani, unanipatia iyeee Niambie nikupe nini unachokikosa, usibadilike Kama wewe kufuli mie kitasa, mlango nishike Na time nikikosa usiende kukopa, unifedheheshwe Nyumba penzi lisiwe la mateka, lipepee yeah Ona nahisi baridi kutetema Unikumbatie raha sanaa Nipee kona, mikunju ka summer beach hodari Mjegejegajii epuka shuruba shuruba aah Me nawe tufanane, unanitosha kupindukia Unaendaga nami, unanitosha kupindukia Kama mboga michupu chupu, unanitosha kupindukia Iye iye iye iye, unanitosha kupindukia Iyo iyo, iyo iyo Tukikosa mchana, tutakula dinner Siri nitunzie Sijachana jina, nimembeba heshima Kwako nitulie Unipe ulafundi wa nakungwi Washushuke japo sio mtungi Tuishie mpaka tulilambe vumbi Tuwasute walevi na mazombi Ona nahisi baridi kutetema Unikumbatie raha sanaa Nipee kona, mikunju ka summer beach hodari Mjegejegajii epuka shuruba shuruba aah Me nawe tufanane, unanitosha kupindukia Unaendaga nami, unanitosha kupindukia Kama mboga michupu chupu, unanitosha kupindukia Iye iye iye iye, unanitosha kupindukia Iye iye iye iye Iye iye iye iye Ooh, ooh Ooh, ooh