(S2KIZZY baby) Mapenzi yanafanya nidate Nishike moyoni niweke Haha nyang’a niyateke teke Niteke na mimi niweke Unenigusa wivu wabaya Vishakunaku roho mbaya Maneno mengi bila haya Oooh Ananipaga vitu tofauti kabisa mi nalewa Wala siendi Kokote akigusa nanasa my only one Ananipaga vitu tofauti kabisa mi nalewa Wala siendi Kokote akigusa nanasa my only one Alewa, alewa, alewa, alewa Alewa, alewa, alewa, alewa Alewa, alewa, alewa, alewa Kama ni moto moto moto moto Umesha kolea Amenikosha mtoto joto joto Naugulia Basi niruhusu baba shabani Twende nyumbani Basi niruhusu nipe kampani Tuwe kampani (S2KIZZY baby) Ananipaga vitu tofauti kabisa mi nalewa Wala siendi Kokote akigusa nanasa my only one Ananipaga vitu tofauti kabisa mi nalewa Wala siendi Kokote akigusa nanasa my only one Alewa, alewa, alewa, alewa Alewa, alewa, alewa, alewa Alewa, alewa, alewa, alewa Msogele, msogele, msogele, msogele, aya Msogele, msogele, msogele, msogele, aya Msogele, msogele, msogele, msogele, aya (S2KIZZY baby)