Delight Sexy Diva, bad girl Rakata Sakata, yeah (Kimambo on the Beats) Kama umeletwa na upepo wa kisulisuli Napenda vile unanukiaga utulituli Na kwenye bedi bwana we ni ngulinguli Napenda vile unavyonipaga vizuri zuli Mara sembe mara dona (babe babe jangu nkuwe dolar) Haya machenga Maradonna (babe babe janju tewemola) Mara tuta mara kuona (babe babe jangu nkuwe dolar) Naugua na kupona Usinibanie, naona utamu Acha nipanie maana utamu Usinibanie, naona utamu Acha nipanie maana utamu Come again, come again Bado bado, come again Come again, come again Bado bado, come again Come again, come again Bado bado, come again Come again, come again Bado bado, come again Come again, olale Come again Come again baby girl seh diafele Tobafaako bali balya mere Kyensaba matu ogagale Onjagale nange nkwagale Kila siku nakuwaza mpenzi Byakucheatinga ebyo siwezi Kukucheat mpenzi siwezi Kankuvuge nkutware kudate Baby I want some Baby give some Handsome boy pesa nina some I don't wanna admire yongeza care Vile twagombana, watakujia Heavenly honey wuliriza dear Bili banga banga banga simsima mama Kwata mpola mpola munaku kaama Fimbo, Ronaldo Usinibanie, naona utamu Acha nipanie maana utamu Usinibanie, naona utamu Acha nipanie maana utamu Come again, come again Bado bado, come again Come again, come again Bado bado, come again Come again, come again Bado bado, come again Come again, come again Bado bado, come again