Mchizi fulani mwenye body la ajabu Nataka anieke ndani Karangi fulani kalaini ka mkate Tafuna burudani Ameniweza na waist vuruga na chest Ameumbika sio wa masihara Usiombe ni-rotate kwa jinsi ulivyosexy Body langu ni biashara Namtia uchizi I wanna make big man go mad Make me crazy Umeniweza umeniteka mazima Mchizi noma yaani amenipakata Ameniweka kwa kiganja amenikamata Kwa msuruu na ameshajichomeka Na zile zungusha anazungusha kula mikaa Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh [Fid Q] Umenishika umenibamba na haulii chosha Hata kama utaniita ganga nitaitika Nishikie pochi pata ule mwanga kwa kitochi Am a big boss wengine shamba cha G kosh Diva nimefurahia kukupata lazima wanikome Kwa kwangu ni ka sheria inanifuata ili iniponye Mipango ya kujiba hainiingii wala hainipendezi Nishachomwa mwiiba hivo sifikirii kuwa mchembezi Ati zako men na brand na finer, fimer Gyal hawatawau wau wa Kunipa murdercase najaribu my best (yeah, sijielewi) Kunipa murdercase najaribu my best (yeah, sijielewi) Mchizi noma yaani amenipakata Ameniweka kwa kiganja amenikamata Kwa msuruu na ameshajichomeka Na zile zungusha anazungusha kula mikaa Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh