Its S2kizzy beiby Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Napenda ukinichombeza, dekeza Acha nijisifie Ooh penzi lako koleza, ongeza Utamu nisikie (hehe) Tunapendana me na we Visa visa vina tu owe Mapenzi ya ki China paranawe Mwenzako me sina kolo Hallo hallo, sina kwaro kwaro Badgal me to a shadow shadow I say hallo, hallo miss Caro Caro Me nimwage mpunga mcharo mcharo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Kuna vichungu na vitamu Kwenye mapenzi ya kwanza uwe na nidhamu (ooh) Kila kilamba chumvi tamu Twende maximum mama sio minimum (yeah boy) Naskia uzuri wa nyumba choo (yeah, yeah) Nitakujengea mpako bungalow (yeah, yeah) Kama mchungwa weka kalingoo (yeah, yeah) Targeti ni mpenzi than you never know Unanichanganya kadada Kutwa nakuwaza kadada Kwa mapenzi yako kadada Unanifanya nionekane bora kadada (ayi) Hallo hallo, sina kwaro kwaro (bang bang) Badgal me to a shadow shadow (ayi) I say hallo, hallo miss Caro Caro Me nimwage mpunga mcharo mcharo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Laizer on the mix