You are my candle light Nakupa sifa sijaona Jinsi una petty petty Wanishika moyo wayoyoma Kwa wengine sichezi Penzi lako kwangu ngoma Nitalinda penzi Pembezoni mpaka Gola Usiniache feli Ukanidanganya danganya Penzi la kitapeli Utu ukautawanya Mi nakupenda beiby Kwa marefu na mapana Wengine wasije wakanipora Wakanipora ooh Naogopa wasije wakanipora Wakanipora ooh Wengine wasije wakanipora (Diva, Diva) Wakanipora ooh Naogopa wasije wakanipora Wakanipora ooh Shikilia unaposhika Na vipofu tule nao Hello dear umenishika Nipe tam bila wao Umenileta mbali ya dunia Siendi tena kwao Nakuona mali mara mia Sipendi nyuso zao Cheki unalock Ndani kufuli hugusi Napenda catwalk Alivozichonga nyusi Napenda nywele ndefu Kama toto la Urusi Ukivaa unapendeza Vaa gauni la harusi Nyuma unavyorudi Mbele unavyokwenda Inabaki sina budi Sijabugi kukupenda Tena makusudi Ikiss na lips tender Chumbani mpaka na hoodi Hivi ndivyo inavyokwenda You're my Lulu Diva Mtoto umeiva Dhamani ya dhahabu Sitaki tena masilver ooh sipati shida Sitaki tiba Tabibu kashafika Nimesema sitaki fever Usiniache feli Ukanidanganya danganya Penzi la kitapeli Utu ukautawanya Mi nakupenda beiby Kwa marefu na mapana Wengine wasije wakanipora Wakanipora ooh Naogopa wasije wakanipora Wakanipora ooh Wengine wasije wakanipora (Diva, Diva) Wakanipora ooh Naogopa wasije wakanipora Wakanipora ooh Kwa raha zako sitamani Sitamani mwingine Nimeshiba kwako sitamani Sitamani mwingine ooh my beiby sitamani Sitamani mwingine Unavyonipa vya ndani Sitamani mwingine Ahadi kukupa dosi Ili usitamani mwingine Nakufuta na machozi Wabanie matozi wakale pengine Sitamani! Sitamani mwingine Sitamani! Sitamani mwingine (Uh, Diva, Diva)