Jinsi yako na makopa ukiwa mchezoni (Wanimaliza) Kwenye raha huna pupa Kidhi raha zangu tukiwa chumbani (baby boy) Nipe yote kwa mwingine sitamani Kwao nafuata nini? Kwako nakosa nini? (Ukimbie) Umeshanipiga pini Moyoni mpaka mwilini (Wasimulie) Kwao nafuata nini? Kwako nakosa nini? (Ukimbie) Umeshanipiga pini Moyoni mpaka mwilini (Wasimulie) Nahisi si kupendwa kabla yako (say what?) Ila nachopenda ndo unacho Yamepita mengi kwenye macho Ila nachopenda ndo unacho Ushaniwaza kashasema sawa Sina dira nishapagawa Umenikoleza penzi lako dawa Nishakanyaga waya Ooh baby naenjoy vitu vyako Ooh baby chako changu, changu chako Unanipa mambo matamu Unaikata mishipa ya fahamu Njoo nikupe nitaongeza dawa Unanipa mambo matamu Unaikata mishipa ya fahamu Njoo nikupe nitaongeza dawa First I gotta give it all to you Coz of how you keep it 100 You persistent ukisema that you want it Huh and am thinking it's cool As long as unidanganima and you keeping the truth Vile hii lugha napanga ni ujue we msupa unabamba Vile you taking me high itabidi nimeshuka na kamba Ikifika ni swag huniita buda mapamba And coz I drive you crazy baby funga mikanda OG! Nahisi si kupendwa kabla yako (say what) Ila nachopenda ndo unacho Yamepita mengi kwenye macho Ila nachopenda ndo unacho Ushaniwaza kashasema sawa Sina dira nishapagawa Umenikoleza penzi lako dawa Nishakanyaga waya Ooh baby naenjoy vitu vyako Ooh baby chako changu, changu chako Mi ni bazenga what you want inaweza get down Don't even mind them, attention they need to get non Naona umechizishwa na huyu boy wa Western The way I got the sause unaeza niita Peptang Hey Lulu Diva nataka kukutuliza But nina swali nataka kukuuliza Uko sure you wanna roll with me? Coz am way too getter, O to the G warrup Nishakanyaga waya Ooh baby chako changu, changu chako Ooh, yeah