(Nextlevel Music) Nusder! Njia tambarare Nimesahau mabonde milima ya kale Oooh oh, haupo kama wale Mi na wewe mapacha sale sale Ooh oh oh Kasuku uuh, ndege wangu Muchuchu wa utamu yangu Kasuku uuh, ndege wangu Muchuchu wa utamu yangu Nimepata kamwari, oh mama Toka Zanzibari, oh mama Kanilambisha asali, oh mama Asali toka Zenji Ua Zuchu nipe sukari, oh mama Tukizima kibatari, oh mama Kama Mbosso mi hodari, oh mama Hodari wa mapenzi Nampenda! Ana kasura ka upole Na macho kusinzia Nampenda! Kafunzwa mkole Sichoki kumsifia Nampenda! Yelele yelele Jamani anavutia Nampenda! Pete kidole Ndo anachosubiria Tusigombane lakini Helo wakute wenga, usinikute na mimi Nimekupеnda niamini Tuumizane moyo, tutesane kwanini? Aah aah ah ah Yamеwatesa wengi Wengine washajinyonga kisa mapenzi Ooh usiniache mpenzi Nisije kunywa sumu kisa mapenzi Nimepata kamwari, oh mama Toka Zanzibari, oh mama Kanilambisha asali, oh mama Asali toka Zenji Ua Zuchu nipe sukari, oh mama Tukizima kibatari, oh mama Kama Mbosso mi hodari, oh mama Hodari wa mapenzi Nampenda! Ana kasura ka upole Na macho kusinzia Nampenda! Kafunzwa mkole Sichoki kumsifia Nampenda! Yelele yelele Jamani anavutia Nampenda! Pete kidole Ndo anachosubiria Hata waseme sura mbaya, kinawahusu nini? Nampenda! Hata wamwite malaya, kinawawasha nini? Nampenda! Maneno neno kibao sitaki Nampenda! Hata muweke vikao simwacho