Leo ni siku yako ya furaha Twazidi kukuombea dua Naona muda umewadia Kata keki tule Na maputo tushakupulizia Na maua ua tukumwagie Hongera Kwa kutimiza miaka khadhaa Hatujaja tu kiholela Na zawadi kede kede tumekuandalia Hongera Umetimiza na sasa tunasema Happy birthday (happy birthday) Happy birthday (happy birthday) Happy birthday Happy birthday to you Happy birthday (happy birthday) Happy birthday (happy birthday) Happy birthday Aah, to you Tumekusanyika na umati Kwa pamoja, tuje kusherehekea Tumekuandalla mpaka kamati Ya maji kuja kukumwawgia Hongera Kwa kutimiza miaka khadhaa Hatujaja tu kiholela Na zawadi kede kede tumekuandalia Hongera Umetimiza na sasa tunasema Happy birthday (happy birthday) Happy birthday (happy birthday) Happy birthday Happy birthday to you Happy birthday (happy birthday) Happy birthday (happy birthday) Happy birthday Aah, to you