Sioni taabu nakula kwetu nalala kwetu eeh Yaani sioni tabu, nala kwetu wee Nalala kwetu wee, bure mnajisumbua Yaani sioni tabu, nala kwetu wee Nalala kwetu wee, ya nini mnajisumbua mnajisumbua? Sioni taabu, nakula kwetu wee Nalala kwetu sina shida mimi Na wala sina karaha Sijaomba kwenu, sijalala kwenu Ya nini lakini kunisimanga mimi Kila siku niamkapo, kila mahala niendapo Mwanitaja taja jina langu Sili kwenu, silali kwenu Karaha za nini, shida za nini? Yaani sioni taabu, nala kwetu wee Nalala kwetu wee, bure mnajisumbua Yaani sioni tabu, nala kwetu wee Nalala kwetu wee, ya nini mnajisumbua mnajisumbua? Yaani mi sioni taabu, nakula kwetu wee Mwajisumbua Sioni tabu, nalewa kwetu Nakesha kwetu, yeah Kila siku niamkapo, kila mahala niendapo Mwanitaja taja jina langu Sili kwenu, silali kwenu Karaha za nini, shida za nini? Yaani sioni taabu, nala kwetu wee Nalala kwetu wee, bure mnajisumbua Yaani sioni tabu, nala kwetu wee Nalala kwetu wee, ya nini mnajisumbua mnajisumbua? Sioni taabu, nakula kwetu Nalala kwetu yeah Yaani sioni taabu! Sioni taabu!