Ah mzee mwenzangu Kwa pigo zako Kila mtu atakung'ang'a Ushachukua moyo wangu Uko nao kwako Ona nimeshajifia Uliponiroga karoge tena Mana nainjoy Sisikii la shari wala la wema Sipumui sikohoi Yalosemwaga Kumbe niyakweli Kwamba subira ndo huvuta heri Umenifanya nisivute fegi sheli Waambie hapauzwi Ogopa matapeli weh! Kwa raha nazozipata (Nakuachaje sasa) Eh baba we! Kwa starehe nnazozipata Ehh aahh weh! Na waseme na waseme na waseme Watajua wenyewe Acha Waseme na wasemeee Mh Ilibaki Kidogo mapenzi yangenishinda Olooh oh Kumbe ningekukataaa ah Ningekua mjinga Eeh! Yalosemwaga Kumbe niyakweli Kwamba subira ndo huvuta heri Umenifanya nisivute fegi sheli Waambie hapauzwi Ogopa matapeli weh! Kwa raha nazozipata (Nakuachaje sasa) Eh baba we! Kwa starehe nnazozipata Ehh aahh weh! Kwa Mfano ukinihonga gari (Nakuachaje Sasa) Ehh Baba we (Nakuachaje Sasa) Unipe Hati nyumba ya masaki (Nakuachaje Sasa) Eeh Baba weh (Nakuachaje Sasa) Kila shughuli unkatie kijora (Nakuachaje Sasa) Na kila wili unlipie kikoba (Nakuachaje Sasa) Nikikucheat unisamehe (Nakuachaje Sasa) Ukinipa Password zako (Nakuachaje Sasa) Eeh Meneja Zack Msalimie Star Jay Eeh Yalosemwaga Kumbe ni ya kweli Kwamba subira ndo huvuta kherii