Oya, aah! Ooh! Oya, oya, oya Oya oya oya oya oya Labda nipate nafasi Niseme nawe kidogo Mwenzako moyo waenda kasi Nimekumiss sio kidogo Labda nipate nafasi Niseme nawe kidogo Mwenzako moyo waenda kasi Nimekumiss sio kidogo Nikueleze mapenzi Hivi unajua Yanaweza kufanya ukalia Kumbe hupendwi, unajisumbua Ye anaonaa Mama mapenzi Hivi unajua Yanaweza kufanya ukalia Kumbe hupendwi, unajisumbua Yee anaonaa Napiga simu Mpenzi nakupenda Ukiwa mbali mi nateseka Kumbe mshenzi anadanga Na ukikata simu anacheka Jamani aah (aah!) Ooh (ooh) Jamani aah (aah!) Ooh (ooh) Ah! Aah! Sina sina sina sina sina Sina wa kunifariji mie Wa kunipenda mie Sina wa kunifariji mie Wa kunipenda mie Sina sina sina sina sina Sina wa kunifariji mie Wa kunipenda mie Sina wa kunifariji mie Wa kunipenda mie Mi najiuliza mengi Hivi ni nani aniwazaye Mbona sipendwi Ama riziki yangu baadae Mi napata uchizi Jamani nani anipendaye Mi sijiwezi Hivi ni yupi mi niwe naye Yote sawa nishachoka kuwa roho juu Usiponipenda utajiju Ila siwezi lia na wewe tu Bora nijidangie vibabu babu Aah! Nijidangie vibabu Sina sina sina sina sina Sina wa kunifariji mie Wa kunipenda mie Sina wa kunifariji mie Wa kunipenda mie Jamani aah (aah!) Ooh (ooh) Jamani aah (aah!) Ooh (ooh) Oh jamani Ana mchicha uko nyuma umeinuka ivo Ana mchicha uko nyuma umeinuka ivo Ana mchicha uko nyuma umeinu Ooh jamani ukienda mbele poa (poa) Ukirudi nyuma poa (poa) Ukinama poa (poa) Ukinuka poa (poa) Basi poa poa poa (poa) Ukinama poa (poa) Ukinuka poa (poa) Ukienda mbele Wee jamani, mama lishe poa (poa) Wanafunzi poa (poa) Yaani poa poa poa (poa) Boda boda poa (poa) Aaah meja hebu tulia kwanza Pesa kidogo tu umeenda kuweka na jino Chefuu!