Ukija niacha moyo wangu Nitaumia sana mie Ndomana nikikuona Mwili wote unanitutusika eeh Kua nawe sina hakika, utaniua wee! Mi kunipa pendo lako Kwangu imekua kama njozi Hata pale tufikapo Amini naumwa homa! We sio wa sampuli wala sample Kwangu umekua kama dozi Hata pale niangukapo Awe unaniinua savipi ukiniacha? Me nitapata tabu, ooh tabu! Me nitapata tabu, ooh tabu! Me nitapata tabu, ooh tabu! Me nitapata tabu, ooh tabu! Niko na wewe, kinywa hakineni Yanini niandikie mate Eti kipya kinyemi maneno ya uvumi yasinichachafye! Mimi umenifunga semi kwa rafikizo baba usintangazie Ona mana fisi bucha hasusiwi Hata buti haing'ai bila kiwi Malumbano kando hayatakiwi Ona mana fisi bucha hasusiwi Hata buti haing'ai bila kiwi Malumbano kando hayatakiwi Sasa vipi ukiniacha? Me nitapata tabu, ooh tabu! Me nitapata tabu, ooh tabu! Me nitapata tabu, ooh tabu! Me nitapata tabu, ooh tabu! Tujikongoje tara tara Taratibu kokote sisi tutafika Visiwani bara bara Majaribu usitetereke yatakwisha Me nitapata tabu, ooh tabu! Me nitapata tabu, ooh tabu! Me nitapata tabu, ooh tabu! Me nitapata tabu, ooh tabu!