Mwenzako mie bila we siwezi Kwenye upendo nimezama Kwenye upendo nimezama Nimulikie ka nuru ya mwezi Wajua nakupenda sana (nakupenda sana) Wajua nakupenda sana (nakupenda sana) Ah kwanza ona tunavyofanana Mpaka tabia tunavyoendana Tunavyofanana Tunavyofanana Ah kwanza ona tunavyofanana Mpaka tabia tunavyoendana Tunavyoendana Tunavyoendana (Tuwe mi na wewe) Tuwe wote mimi na we (Mi na wewe) Nakupenda sana (Tuwe mi na wewe) Tupendane mpaka mwisho (Mi na wewe) Aah ah, mahaba niue (Tuwe mi na wewe) Tuwe wote baby (Mi na wewe) Aah ah mi na we (Tuwe mi na wewe) Eeh mahaba niue (Mi na wewe) Kitanda chetu kinageuka ulingo Hakuna refa wala wa kushika fimbo Ona nashindwa kuvumilia Kwa hizo raha unazonipatia Na wala sihitaji mwingine zaidi ya we Unaenifanya me nipagawe Mbali nami usiende Oh baby usiende Ah kwanza ona tunavyofanana Mpaka tabia tunavyoendana Tunavyofanana Tunavyofanana Ah kwanza ona tunavyofanana Mpaka tabia tunavyoendana Tunavyoendana Tunavyoendana (Tuwe mi na wewe) Tuwe wote mimi na we (Mi na wewe) Nakupenda sana (Tuwe mi na wewe) Tupendane mpaka mwisho (Mi na wewe) Aah ah, mahaba niue (Tuwe mi na wewe) Tuwe wote baby (Mi na wewe) Aah ah mi na we (Tuwe mi na wewe) Eeh mahaba niue (Mi na wewe) Tuwe wote mi na wewe Tuwe wote mi na wewe Aah aah Tuwe wote mi na wewe Tuwe wote mi na wewe Eeh eeh