Here's another one! Na nisipotoka sio tu Mungu mpaka shetani ata doubt Warrup, tumia akili kabla haijakutumia Manengo, you know me (touch!) Stamina, you know me Busy, busy, busy, let's go! Okey, niko peke yangu, sina dada wala ndugu Wakinitaka nipo baa nakunywa Pombe Magufuli Gigi kunipa papa, mliona wivu ka napanda ndwafu Waambieni nipo Kenya napewa Papa Jones na Khaligraph Waambieni watoto warudi shule Nawashangaa wanauza K wakati Mwanza zihuwa bure Saa, kanikimbia Mwanza kaenda Tambora kaliwa Chungeni msicheze Iokote gerezani mtalia Mi ni Yanga, nampiga mdogo na mkubwa yaani Namkalisha danda mpaka simba wa Yuda Similiki dem, similiki shem So ukiniona ninajichua jua nina maumivu sehem Picha ya Mjoni, so hamjui ata kusoma Kwa manengo wamecheka na mla mhindi wa kuchoma Na sio Bongo tu, nenda Mozambique watakwambia kuwa Nauza chai ya rangi, ubongo maziwa Kama jahazi linasonga Wacha bomba ipepee, wacha bomba ipepee Mpaka tuna tia nanga Wacha bomba ipepee, wacha bomba ipepee Watoto wamejiroga Kimya na kuguza guza soda Watu wazima cheki tunavuka boda (Watu wazima cheki tunavuka boda) Ah, na huu mwaka nawachezesha kichura chura Kikuta napiga tano, cargonini huko manura Pole mnafiki Mr Yuda, mbele yangu huwezi tamba Naona unapoteza muda ka mshenga wa Dogo Njanja Wanaonijua vizuri hawana shaka na mimi Wanadata na mimi, nikitema wanadaka madini Mtu makini, mchezoni mi huuza sura kwa nini? Ngumu kumeza, Mr Paka roho saba kazini Ukiona anatingisha kichwa, cheki na zipu Maana nina vichwa viwili navyo tumia kila siku Waambieni wapizani, habari yao tunayo Wasije CCM kirhumba, watapigwa roba za mbao Shoga ukikosa vumba, danga Kuhusu bikogo ya mapenzi pata mchumba, Tanga Ah kula sana unga, wanga Ukipata dem kisu tafta chumba, manga Kama jahazi linasonga Wacha bomba ipepee, wacha bomba ipepee Mpaka tuna tia nanga Wacha bomba ipepee, wacha bomba ipepee Watoto wamejiroga Kimya na kuguza guza soda Watu wazima cheki tunavuka boda Watu wazima cheki tunavuka boda Nina mistari nidhamu, tega sikio niwaonyeshe Yaani mi ni mtamu, mpaka Nandy aliniomba nimnogeshe Manengo ni chuo bro na sio veta Napigaga guitar, kinanda hadi zezeta Waambieni watabiri wa ndoto, mi hizi ndoto zinanionea Maana nikilala na mto huwa naotaga naogelea Na ununda wangu wote, sijawai kwenda segerea Ghetto navuta subira, kuliko powder na mmea Mi nimeshazoea ng'ombe na mbuzi nusu Kwa hiyo siridhishwi na dem mwenye kikuku Msichojua, kwenye collabo, namkalisha mkali wao Mkuje simba, paka na mkali wenyu Kuhustle ndo kauli mbiu, amkeni washikaji Unaeza ukafa na kiu na huku unakaa ubongo maji Nilikotoka ni hatari, hakiombeki hali mbaya Hata nikifa bila gari, nitaendesha huko Galilaya Kama jahazi linasonga Wacha bomba ipepee, wacha bomba ipepee Mpaka tuna tia nanga Wacha bomba ipepee, wacha bomba ipepee Watoto wamejiroga Kimya na kuguza guza soda Watu wazima cheki tunavuka boda Watu wazima cheki tunavuka boda Lazima cheki tunavuka boda Bomba ipepee, acha bomba ipepee Ooh wooh, acha bomba, acha bomba (touch!) Tumia akili kabla haijakutumia