Blaq, Blaq
Blaq on the beat
They call me Toto Bad

Sir God kaumba kapatia
Hana dosari ana vutia
Sebure kwa chumba kajazia
Ladha asali ana natia
Akitupia ana pendeza kama mdori
Lips colour mpaka raha kama kachori
Namba D car hajatembezwa bado kigori
Kama kungu kala mpaka raha jicho goroli

Kama samaki sangara
Hiyo mikogo (wacha bwana)
Manyaku kama nawaona
Nimacho kodo mieee

Akini touch touch
Moyo una dundaga
Una dundaga
Akisema sitaki
Akinuna moyo una dundaga
Una dundaga

Wapo watao sema hunifai
Ili wakuchukue
Vaniachie majanga
Penzi wa chakachue
Watakodi madinga ma tai
Ili wakuzuzue
Wajitie waganga
Penzi waligangue

Ujasiri sina wa kuvumilia nnapo umizwaa
Huo moyo sina nikizama kina mpaka kiiza

Kama samaki sangara
Hiyo mikogo (wacha bwana)
Manyaku kama nawaona
Nimacho kodo mieee

Akini touch touch
Moyo una dundaga
Una dundaga
Akisema sitaki
Akinuna moyo una dundaga
Una dundaga

Manyaku nyaku
Manyaku nyaku
Manyaku nyaku
Manyaku nyaku

The Mix Killer
Ostrich Music
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK