Masauti, Kenyan boy
Khaligraph Jones its going down

Yaani toto kiboko
Yaani toto kiboko
Yaani toto kiboko

Eey, napenda venye unavyodunda
Ukitembea unafanya nikutake take
Kweli Mola kakuumba, unateketea
Vile uko lit lazima nikukate

Sijui ka uko na copy (eeh)
Ya mimi ni nani?
Mitaani waniita OG

Unataka vipi Atoti?
Iko vipi?
Kwani we ni mgeni hapa Nairobi?

Na jinsi anavyo ligidi ligidi
Kana kwamba anaifanya ka digiri Ana digiri
Ukichikidi chikidi, Ana digidi digidi
Mashore wengine sai ni TBT, TBT (saree)

Mtoto kiboko
Eeh ahh kiboko
Huyu mtoto
Kiboko kiboko yaani kiboko

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani Kiboko

Nitadunga suti na tai
Nimfwate nimnong'oneze
Nimwambie ye ndo nadai
Ananipa mi mawenge
(Hello Shawty)

Toto la kinai, roho body
Uswazi kote ye ndo ametawala
Sioni noma yaani mbona soul body
Akinipa sikatai mimi nakwala

Figure kama mjaka
Yaani balaa nyuma vigirigi
Kwa shanga kiunoni nasimama
Wima, mpaka alfajiri

Figure kama mjaka
Yaani balaa nyuma vigirigi
Kwa shanga kiunoni nasimama
Wima, mpaka alfajiri

Mtoto high class
Nywele singa singa, kimahaga (ni mkare)
Yaani working class bila kusita nang'oa nanga
Yaani mtoto high class
Nywele singa singa, kimahaga (ni mkare)
Yaani working class bila kusita nang'oa nanga (si usaree)

Mtoto kiboko
Eeh ahh kiboko
Huu mtoto kiboko, kiboko yaani kiboko

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Check it eey, ju already tusha nokiana
Lenga huyo boy ata moti hana
We ni kiboko tunaeza sosiana
So go ahead and bust it down thotiana

Ey we ndo kiboko
Kuja international toka local
Am the hottest rapper right now kwa soko
And rich too, bad boy si msoto

Haha, ooh lord you entice me
And me backing down so unlikely
No sidechiq I'll make you my wifey
Masauti vipi? They can't do it like we

Unavyo Katika, Shiro
Nyuma ulivyoshona Doro
Nikikupata kwa godoro
(Hhmm weeh kibokoo)

Unavyo Katika, Shiro
Nyuma ulivyoshona Doro
Nikikupata kwa godoro
(Hhmm mama kibokoo)

Ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani Kiboko
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK