Masauti kenyan boy Yaani toto kiboko Yaani toto kiboko Yaani toto kiboko Eey Ana bonge la nundu Akitembea mwendo wake aste aste Rangi yake ka mzungu (chii) Ukimuona lazima yakudondoke mate Anavyodatisha madonga (uwee) Na mabarobaro Ukijiliza ati unataka pona Mpaka uhonge majerojero (aah eeh) Mtoto high class Nywele singa singa, kimahaga (ni mkare) Yaani working class bila kusita anang'oa nanga Yaani mtoto high class Nywele singa singa, kimahaga(ni mkare) Yaani working class bila kusita anang'oa nanga(si usaree) Mtoto kiboko Eeh ahh kiboko Huu mtoto kiboko kiboko yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Nitadunga suti na tai nimfwate nimnong'oneze Nimwambie ye ndo nadai ananipa mi mawenge Toto la kinai, roho body Uswazi kote ye ndo ametawala Sioni noma yaani mbona soul body Akinipa sikatai mimi nakwala Figure ka mjaka Yaani balaa nyuma vigirigi Kwa shanga kiunoni na simama Wima, mpaka alfajiri Figure ka mjaka Yaani balaa nyuma vigirigi Kwa shanga kiunoni na simama Wima, mpaka alfajiri Mtoto high class Nywele singa singa, kimahaga (ni mkare) Yaani working class bila kusita anang'oa nanga Yaani mtoto high class Nywele singa singa, kimahaga (ni mkare) Yaani working class bila kusita anang'oa nanga (si usaree) Mtoto kiboko Eeh ahh kiboko Huu mtoto kiboko kiboko yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Ninavyo katika shiro Dem ulivyoshona doro Nikikupata kwa godoro (Hhmm weeh kibokoo) Ninavyo katika shiro Dem ulivyoshona doro Nikikupata kwa godoro (Hhmm weeh kibokoo) Ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko