Mshukuru Mola manani Alokulete duniani Na pia washukuru wazazi Walivyokulea Wako wengi walokutamani Wasotaka kukuoa Lakini ukajitenga kimwari Nazo fikira hukutekwa Mambo mengi walishaongea Eti wewe hunifai Na majina wakakupatia Eti kicheche mtaa Kwani mimi ndo naye tambua Kwangu beiby we ni nani Maneno yao hayatatutishia Kwangu beiby umefika Wewe ni wangu, mahabu mahabu mahabuba We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba Nakupenda sana Mashallah umeumbwa tena ukaumbika Sura yenye kung'ara umbo nayo wapendeza Na mapenzi wayajua kupeti peti mama Manukato yakilowa, wanukia mama Kwa kweli nimepata Mapenzi ya asali Siishi kujilamba Mwangu kingajani Na wala kwako sitatoka, nitatulia wangu mama Unimbembeleze, unidekeze Na wala kwako sitatoka, nitatulia wangu mama Unimbembeleze Wewe ni wangu, mahabu mahabu mahabuba We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba Nakupenda sana Wacha waseme ni wewe Moyo umechagua mwenyewe Wacha waseme ni wewe Hao wacha wawe legelege Wacha waseme ni wewe Moyo unachagua mwenyewe Wacha waseme ni wewe Hao wacha wawe legelege Wewe ni wangu, mahabu mahabu mahabuba We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba Nakupenda sana Wewe ni wangu, mahabu mahabu mahabuba We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba Nakupenda sana