Maa forever aah, mi nataka niishi na wewe Maa forever aah, mpaka mwisho wa mimi na we Maa forever aah, mi nataka niishi na wewe Maa forever aah, mpaka mwisho wa mimi na we Kwenye ubindu wa imani Wengi wanadumu mili maishani Napenda unipende kwa imani Msimamo wa kweli usiojaa fatari Nitapeleka na kutaka nini unataka Kwa mama tutafika Na siku ikifika tufunge ndoa mimi nawe Siku zote niwe nawe Ndipo nitasimama, linda penzi liwe na amani Ndipo nitasimama, penzi lisiingie matata Ndipo nitasimama, wote beiby tuishi kwa amani Ndipo nitasimama Ndipo nitasimama, linda penzi liwe na amani Ndipo nitasimama, penzi lisiingie matata Ndipo nitasimama, wote beiby tuishi kwa amani Ndipo nitasimama Maa forever aah, mi nataka niishi na wewe Maa forever aah, mpaka mwisho wa mimi na we Maa forever aah, mi nataka niishi na wewe Maa forever aah, mpaka mwisho wa mimi na we Tuishi wote milele Kwa raha bila kujali kelele zao Tuwe makini na wale Kamwe wasije leta ndwele Nitakupeleka kwa ndugu zangu wa Nyamwanga Ukapate na ntonga Na nyumba nitajenga ili uniamini upendo Toka zamani mi naujenga Ndipo nitasimama, linda penzi liwe na amani Ndipo nitasimama, penzi lisiingie matata Ndipo nitasimama, wote beiby tuishi kwa amani Ndipo nitasimama Ndipo nitasimama, linda penzi liwe na amani Ndipo nitasimama, penzi lisiingie matata Ndipo nitasimama, wote beiby tuishi kwa amani Ndipo nitasimama Maa forever, mimi na wewe Mpaka mwisho wa mimi na we Na mimi na wee Thank you