Mimi sitaki tena kusikia umeniumiza Alpha na Omega mwanzo mwisho katu sitokuwaza Umenisulubu kwa adhabu Nami mdhaifu kwako nyang'afu Na si unajua tu wewe Mwenzako maumivu kiwewe Yaani umetenda tu wewe Kifaranga manjonzi furaha ya mwewe Si unajua tu wewe Mwenzako maumivu kiwewe Yaani umetenda tu wewe Ooh Na mbona mbona mbona mbona? Upendo daraja limevunjika Mbona mbona mbona mbona? Furaha umebadili kuwa maumivu Mbona mbona mbona mbona? Nafanyaje ndo hivi najikokota Mbona mbona mbona mbona? Kiranga mbele nimebaki bubu Lahili wa nahari Silali unono zake hiana Akaenda upepo mwanana Kavuka nyika nami simanzi Sipati jawabu juu ya hili Jambo najiuliza Umefichuka kichaka uloficha mechacha Niparua makucha mmmh Kutaka kunikomoa Nia yako kusudi umevuja pakacha Na si unajua tu wewe Mwenzako maumivu kiwewe Yaani umetenda tu wewe Kifaranga manjonzi furaha ya mwewe Si unajua tu wewe Mwenzako maumivu kiwewe Yaani umetenda tu wewe Ooh Na mbona mbona mbona mbona? Upendo daraja limevunjika Mbona mbona mbona mbona? Furaha umebadili kuwa maumivu Mbona mbona mbona mbona? Nafanyaje ndo hivi najikokota Mbona mbona mbona mbona? Kiranga mbele nimebaki bubu