Hey heey, oh uuh yeah oh, baby, niruhusu tufanane Huku nikiamini one day, utanioa aah Baby nikikuona nabanwa na haja Baby nakuwaga kitutu ng’ag’a Tell me nikipita kupa mawazo Ooh baby kati nakutunuku mia mia Kwa kichomi nikande Kwa moto baridi usigande Kama ruba nigande Tuwe wote eh Aah come baby, come bae Msumali kwa nyundo nigonge Oh Monday to Sunday, i love you Mmmh oh basii (iokote) Sio kwa bed kwa kochi kitandani naichumia (iokote) Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote) Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote) Nakunja goti napandisha morili nachechemea Oh yeahh Baby, baby Ikitoka kuoga nipende ya moto moto (aah) Tinga moka kitenge totoke mtoko (aah!) Boda kwa boda tutembee (chocho kwa choko) Tena nikichoka nibebe (me kwako mtoto) Aiye eh Rafudhi ya pemba rangiani hai (hai) Nywele kihindi chambi chambi (nai) Cheza rafu kona bambii, mpoko mpoko Heeii Refa katupa penatii (ahaa eeh) Mpira ushawekwa katiiii (aahh eeh) Nahitaji magoli kwa chenga zako Piga shuti nikudalie Kwa kichomi nikande Kwa moto baridi zigande Kama ruba nikugande Tuwe wateee (eeh) (Uhuu yeeh) Aah come baby come baby Msumali kwa nyundo nigonge oh Monday to Sunday, i love you Mmmh oh basii (lokote) Sio kwa beds kwa kochi kitandani naichumia (iokote) Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote) Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote) Nakunja goti napandisha morili nachechemea Oh yeaahh Baby, baby