Jua ni moto Tena ni mwangaza ya dunia Jua, maji, mwezi, nyota, upepo na udongo Ni uzima wa binadamu Nadina yoo Nadina yoyo Nadina yoo Nadina yoyo Tuombe mungu baba yoyo Atuhurumie dhambi zetu mama Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma Hata we ni wa shetani jua yuu alikuumba Tumsifu mungu baba ee ee Hata mara moja ujuma Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma Hata we ni wa shetani jua yuu alikuumba Tumsifu mungu baba ee ee Hata mara moja ujuma Samaki nyama, majani vidudu Au dege ni uzima wa binadamu Vinyanga udongo Kuchoma majani Au vyote unapenda ee Havi semiki Vinyanga udongo Kuchoma majani Au vyote unapenda ee Havi semiki Nadina yoo Nadina yoyo Nadina yoo Nadina yoyo Tuombe mungu baba yoyo Atuhurumie dhambi zetu mama Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma Hata we ni wa shetani jua yuu alikuumba Tumsifu mungu baba ee ee Hata mara moja ujuma Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma Hata we ni wa shetani jua yuu alikuumba Tumsifu mungu baba ee ee Hata mara moja ujuma Samaki nyama, majani vidudu Au dege ni uzima wa binadamu Vinyanga udongo Kuchoma majani Au vyote unapenda ee Havi semiki Vinyanga udongo Kuchoma majani Au vyote unapenda ee Havi semiki Nadina yo Nadina mama Rudisha mwili na roho nyuma mama Mimi fasi niko hoi inagonga Yee yee oh Nadina yee yee Unipe mapenzi yako yote ye yee Yee yee oh Nadina yee yee Oh Nadina bibi ee