Vipeperushi vinasambaaa Eti natafutwa Nimepotea, wiki imekata Ndugu wamechachamaa Wananitafuta Nimepotea mwezi imekata Kazini sionekani Yupo wapi huyu Simuni sipatikani Yupo wapi huyu Baba kaniuoizia Yupo waapi huyu Mama haishi kulia Yupo wapi huyu Mimi, nimezama katika kina Kirefu cha bahari ya mapenzi Nimezama katika kina Kirefu cha bahari ya mapenzi Sio mwana rahabu mlomkuta tanga Sijafanywa msukule msipate tabu kumaliza waanga Amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga Penzi lawa sasa mbule lenye protini vitamini na wanga Aaah ladha yake, si sukari Ni vichenza na malimao Mechi zake huwa hatari Ni chenga na mabao Kazini sionekani Yupo wapi huyu Simuni sipatikani Yupo wapi huyu Baba kaniuoizia Yupo waapi huyu Mama haishi kulia Yupo wapi huyu Mimi, nimezama katika kina Kirefu cha bahari ya mapenzi (Msinitafute, msihangaike) Nimezama katika kina Kirefu cha bahari ya mapenzi Nipo salama mimi, nipo salama mimi Msinitafute niko salama mimi