(Lalalee lalelaa) (Mocco) Mbona mimi sijui? Nina nini sijui? Umenipa nini kidawa? Kila nachofanya ni sawa Hakipandi chakula, muda wa kula Yani mpaka unilishe Usiku usingizi sina Mpaka ulale wewe, aahh Una uzuri wa sura Na hiyo chura, ufundi uzizidishe Wewe ni size yangu, kina twaendana wewe You be there for me my baby I'll be there for you my baby Baby, wewe ni wangu Ukicheka mashavu vishimo Mtamu mpaka kisigino Wewe ndio mami love Wewe ndio mami love ooh Mapenzi hayana vipimo Mimi na wewe tukuchitino Nishadondosha wino Nishadondosha wino ohh Only you, only you Only you, only you, only you Only you (ohhh), only you (ohhh) Only you, only you, only you Mungu anaumba, mungu anachora Mungu anayakata kata maumbo Mungu anafumba Mola, kakujaza jaza nyama lundo Si ndoma, si kokoto Vimacho vyako changarawe Mwili homa, nahisi ya rosto Tuanze kula ndio tunawe My chioma, my tototo Ukinimwagia sandakalawe If you pour sandalawe on me Sodoma nauona moto Ukibiduka para nawe Mwarubaini, ni dawa ya tumbo Usiichanganye na sukari, ooh na sukari Nimebaini, penzi ni fumbo Si maandishi ya daftari Ukicheka mashavu vishimo Mtamu mpaka kisigino Wewe ndio mami love Wewe ndio mami love ooh Mapenzi hayana vipimo Mimi na wewe tukuchitino Nishadondosha wino Nishadondosha wino (only you) Only you, only you Only you, only you, only you Only you (ohhh), only you (ohhh) Only you, only you, only you