Maaaaaaaa aaaah ah! Uh ohohohohoh Oh ohohoh! (Wasafiii) Hhhmm Maaaaaaaa aaaah ah! Iyoo lizer Uh ohohohohoh Oh ohohoh! Asalala mungu kaninyima upole Hali yangu majalala Mwali nliekosa mkole Terminal mbagala Ofisi ajira ndole Nawakalisha mafala Wajinga wakuja bongo Wageni wa dar es salaam Vipi nitakidhi mahitaji yako Yangu yananishinda Hali mbaya sina godoro Na vipi kuhusu wazazi wako Kielimu mimi mjinga Japo mapenzi haya Hayanaga kasoro Kama una kumbukumbu Hata baba yako nlishawahi kumkaba Alilia kwa uchungu na mama yako Nlipompola zaga Je! Watakubali? Hivi unadhani (watakubali?) Wazazi wako (watakubali?) Me nawe hatulingani (watakubali?) Hadhi yangu na yako (watakubali?) Hivi unadhani (watakubali?) Waaaa aaah! (Watakubali?) Shida mama shida (watakubali?) Aaaaah ah! Najua watamani tuoane Miguu yangu kutwa iko busy eeh! Sitaki ubaki mjane Kula kwangu hadi nikimbizwe eeh! Niendapo barabarani Usinisubiri nikikwambia ngoja Maana si kazi ila vitani Kufa ni tendo la mara moja Muda mwingine shati begani Pekupeku utadhani nimerogwa Mguu nje mguu ndani Defender inakubeba kama mzoga Raha ya mapenzi ushemeji kucheka Dada na majirani Na nishafanya kote manjegeka Hawanipendi mtaani Vipi nitakidhi mahitaji yako Yangu yananishinda Hali mbaya sina godoro Na vipi kuhusu wazazi wako Kielimu mimi mjinga Japo mapenzi haya Hayanaga kasoro Kama una kumbukumbu Hata baba yako nlishawahi kumkaba Alilia kwa uchungu na mama yako Nlipompola zaga Je! Watakubali? Hivi unadhani (watakubali?) Wazazi wako (watakubali?) Me nawe hatulingani (watakubali?) Hadhi yangu na yako (watakubali?) Hivi unadhani (watakubali?) Waaaa aaah! (Watakubali?) Shida mama shida (watakubali?) Aaaaah ah! Nkuonge kisimu cha camera (naanzaje!) Na kila rusha roho madera (naanzaje!) Eeeeh! Saloon uwende kila week (naanzaje!) Weekend twende kwa miziki (naanzaje!) Naaaaanzaje?