Kwako mwana ukamtuma Duniani kisa na maana Nipate uzima Jamani Kwako mwana ukamtuma Duniani kisa na maana Nipate uzima Jamani Ishara kwamba unanipenda zaidi Hivo nishaelewa sifa nitakupa zaidi Ishara kwamba unanipenda zaidi Hivo nishaelewa sifa nitakupa zaidi Na siwezi jizuia Kusema wako wema Na sio kama najigamba Umenitenda mema Na siwezi jizuia Kusema wako wema Na sio kama najigamba Umenitenda mema Umekuwa mwema kwangu Umenitoa gizani nilipokuwa nimeshikwa mateka Ukanipa tumaini kwako nikajificha Sasa nitakupa nini iwe sawa na yale umetenda Hakuna ila moyoni sifa nitakuimbia Nilikugharimu msalabani unifie Hivo inanibidi sifa nikuimbie Wemo wako niseme ili na wengine wakujue Wote waungane nami na wazee ishirini na nne Na siwezi jizuia Kusema wako wema Na sio kama najigamba Umenitenda mema Whoa, na siwezi jizuia Kusema wako wema Na sio kama najigamba Umenitenda mema Umekuwa mwema (kwangu) Wacha niringe Umekuwa mwema (kwangu) Ooh Yahweh oh ooh (kwangu) Ooh umenitendea aah, aah (kwangu) Wacha niimbe Siwezi jizuia Kusema wako wema Na sio kama najigamba Umenitenda mema Whoa, na siwezi jizuia Kusema wako wema Na sio kama najigamba Umenitenda mema Ooh, na siwezi jizuia Kusema wako wema Na sio kama najigamba Umenitenda mema Whoa, na siwezi jizuia Kusema wako wema, Yesu Na sio kama najigamba Umenitenda mema Siwezi jizuia