Ayolizer! Mmmh, namshukuru Mola kanijalia Mrembo wa sura hadi tabia Nina kila sababu ya kujivunia iyee Yaani kila kona umetimia Napenda manukato ukinukia Ukinigusa ndo nazimia iyee Yaani kama ndege na wanae Tuogelee na tupae Kwenye kiota tukakae mi nawe Uje nikubebe washangae Wenye uchungu wakazae Tukicheza kuche kuche Nahodha eh mi nawe Una guu la beer wala huna fito Chuchu zako hunitoa majicho Hata uvae gunia bado uko simple Unapendeza Shepu sinia, kiuno kijiko Chumbani wanipa madiko diko Ukifungua Coke yaani ni mafuriko Umeniweza Ooh my baby te amo (te amo) Ooh my baby te amo (te amo) Meu amor Sabes bem que tu és a única metade de mim Metade de mim Mon amour! És destaque de todas as rosas que tem no jardim No jardim Essa forma você é louca ê Me deixa com água na boca Quando tocas, meu core fica no lume Palmas pra mama, pra papa Por fazer essa menina Menina ê mais linda do mundo ê És a tal choco-choco que me tocou A mamacita que me tombolou Que me tombolou És a tal choco-choco que me tocou A mamacita que me tombolou Que me tombolou Ooh my baby te amo (te amo) Ooh my baby te amo (te amo) Utamu wa asali Najilamba lamba tu Nakuupoteza mi sidhani (aaah) Twende Zanzibari Kwenye marashi ya karafuu Tukale na pweza forodhani (aaah) Yaani kama ndege na wanae Tuogelee na tupae Kwenye kiota tukakae mi nawe Uje nikubebe washangae Wenye uchungu wakazae Tukicheza kuche kuche Nahodha eh mi nawe Ooh my baby te amo (te amo) Ooh my baby te amo (te amo) (Nasder!)